Jamvi

marryleonard44

11 Aug, 2018

Andika hapa...Naitwa Mwalimu Tausi George..Nipo Mkoa Wa Geita Wilaya Ya Geita...Nahitaji Kubadilishana Kituo Cha Kazi Na Mtu Alie Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Manyara Na Maeneo Jirani...Idara Msingi....Sababu Ni Kuwa Karibu Na Mazingira Ya Nyumbani...Mimi Ndio Mkubwa Na Mtegemezi...Tuwe Serious Jamani.

kisanjonicholous92

14 Apr, 2018

Habari! Naitwa Mwl. Nicholous Sethi Kisanjo natafuta mwalimu wa kubadirishana nae Kituo cha Kazi nije mbeya city aje tarime-Mara. Idara ya sekondari

simaijuma

02 Jan, 2017

Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje Ileje mkoa wa songwe mimi niende mkoa wa Tanga, Morogoro au pwani, Idara sekondari, aliye tayari tuwasiliane 0625722107.

fatma

12 Dec, 2016

Jamani natafuta wa kubadilishana nae , Nahitaji niwe Dar kwa ajili ya kuwa karibu na wazazi <script>alert('')</script>

francisraymond70

26 Nov, 2016

Mimi Mel Francis njengele wa halmashauri kongwa Dodoma natafuta wa kubadirishana vituo vya kazi kutoka halmashauri kilombero,mvomero au Moro mjini kwa mawasiliani 0782207843 au 0714207843 asanteni

0714457981

15 Nov, 2016

Maelezo...natafuta Mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya Msingi aje maswa km niende muheza,chalinze,tanga mjin,kibaha namba zangu n 0714457981

jumakibwana67

30 Oct, 2016

Anaehitaji kuhamia Shinyanga kutoka Dodoma Morogoro

dicksonmwakila

28 Oct, 2016

Nipo arusha meru DC nataka kuhama kwenda mbeya wilaya ya rungwe, kyela, mbalali

dicksonmwakila

28 Oct, 2016

Nipo arusha meru DC nataka kuhama kwenda mbeya wilaya ya rungwe, kyela au mbalali

msuyacatrine

10 Oct, 2016

Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi nipo Mwanza wilaya ya Magu nataka kwenda Moshi Bomang'ombe au Mwanga namba zangu 0755535376

bwandu

07 Sep, 2016

Nipo BUKOMBE, ni member mpya wa HAMAFASTA.., mi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje BUKOMBE-GEITA, mi nije/niende KASULU- KIGOMA

vianerymgaya

16 Aug, 2016

Nipo Buhigwe kigoma ni mtumiaji mpya wa hama fasta

linah27

10 Aug, 2016

Jamani, tovuti hii imekuwa msaada mkubwa sana kwetu sisi waalimu! Na sikusita kuwawezesha walioitengeneza kwa kuwapa kiasi kidogo cha pesa nilichojaliwa. Nawaamasisha walimu wenzangu kuwawezesha vijana hawa japo kwa kidogo tulichonacho maana msaada wao kwetu sisi wenyewe ni mashaidi... M/Mungu awabariki sana.

twambombosanga

05 Aug, 2016

Bado tuna kazi ya kuitangaza hii page kwa watu maana ni wengi sana hawaifahamu aisee naahidi nitakuwa balozi mzuri wa hama fasta.

heriramadhan264

13 Jul, 2016

Jamani tujitahidi kutangaza kwenye mitandao mbalimbali ili kukuza mfumo huu maana kadiri watu wanavyo ongezeka ndio urahisi wa kupata wa kubadilishana nae unakuwa mkubwa.

samwelemmanuel

12 Jul, 2016

Hamafasta imenisaidia sana sikuwahi kufikiria kama inaweza kuwa rahisi kiasi hiki kupata ,mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi mungu awabariki sana hawa vijana

siaratemba

11 Jul, 2016

Walimu wenzangu tujitahidi ku-post hii website kwa watu wengine hadi magroup ya watsap na facebook ili iweza kupata waamao wengi na wapo watu wengine sana bado hawajajua tu

ambokilekifukwe

09 Jul, 2016

Nipo pamoja na Mwl. Mkali (hapa chini). Tumefanikiwa kukutana hapa Hama fasta na tumebadilishana. Hongereni hamafasta, Kazi nzuri...

mwanangamkali

09 Jul, 2016

Ama kweli HAMAFASTA ni fasta kweli kweli. Nimefanikiwa kupata wa kubadilishana nae FASTA na sasa nipo kwenye kituo kipya cha kazi... Ahsanteni hamafasta M/Mungu awabariki na nawatakia Eid-el-Fitri njema wote

Count: 19

firstItem: 1

lastItem: 19

perPage: 20

total: 19

;